Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 37:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Nikatazama, kumbe! Kulikuwa na mishipa juu yake, nyama ikatokea juu yake, ngozi ikaifunika juu yake; lakini haikuwemo pumzi ndani yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Nilitazama, nikaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Lakini haikuwa na uhai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Nilitazama, nikaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Lakini haikuwa na uhai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Nilitazama, nikaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Lakini haikuwa na uhai.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Nikatazama: mishipa na nyama vikatokea juu ya mifupa na ngozi ikaifunika, lakini haikuwa na pumzi ndani yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Nikatazama, mishipa na nyama vikatokea juu ya mifupa na ngozi ikaifunika, lakini hapakuwepo pumzi ndani yake.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 37:8
2 Marejeleo ya Msalaba  

Basi nikatoa unabii kama nilivyoamriwa; hata nilipokuwa nikitoa unabii, palikuwa na mshindo mkuu; na tazama, tetemeko la nchi, na ile mifupa ikasogeleana, mfupa kwa mfupa mwenziwe.


Ndipo akaniambia, Tabiri, utabirie upepo, mwanadamu, ukauambie upepo, Bwana MUNGU asema hivi; Njoo, kutoka pande za pepo nne, Ee pumzi, ukawapulizie hawa waliouawa, wapate kuishi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo