Ezekieli 37:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Bwana Mwenyezi-Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Bwana Mwenyezi-Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Bwana Mwenyezi-Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi kwa hii mifupa: Nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo kwa hii mifupa: Nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Tazama sura |