Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezekieli 37:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 ukaviunge pamoja kwa ajili yako hiki na hiki viwe kijiti kimoja, viwe kimoja katika mkono wako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Halafu vichukue vijiti hivyo na kuvishikamanisha ili vionekane kama kijiti kimoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Halafu vichukue vijiti hivyo na kuvishikamanisha ili vionekane kama kijiti kimoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Halafu vichukue vijiti hivyo na kuvishikamanisha ili vionekane kama kijiti kimoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ziunganishe pamoja kuwa fimbo moja ili ziwe fimbo moja katika mkono wako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ziunganishe pamoja kuwa fimbo moja ili kwamba ziwe fimbo moja katika mkono wako.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 37:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na wivu wa Efraimu utaondoka, na wale wanaomwudhi Yuda watakatiliwa mbali; Efraimu hatamhusudu Yuda, wala Yuda hatamwudhi Efraimu.


Katika siku hizo, na wakati huo, asema BWANA, wana wa Israeli watakuja, wao na wana wa Yuda pamoja; Wataendelea njiani mwao wakilia, nao watamtafuta BWANA, Mungu wao.


Na wana wa Yuda na wana wa Israeli watakusanyika pamoja, nao watajichagulia kiongozi mmoja, nao watakwea watoke katika nchi hii; kwa maana siku ya Yezreeli itakuwa kuu sana.


Maana hapo ndipo nitakapowarudishia mataifa lugha iliyo safi, wapate kuliitia jina la BWANA, wamtumikie kwa nia moja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo