Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 37:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoyafunua makaburi yenu, na kuwatoa ninyi katika makaburi yenu, enyi watu wangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Nanyi, enyi watu wangu, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Nanyi, enyi watu wangu, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Nanyi, enyi watu wangu, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Ndipo ninyi watu wangu, mtajua kuwa Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, nitakapoyafunua makaburi yenu na kuwatoa humo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Ndipo ninyi watu wangu, mtakapojua kuwa Mimi ndimi bwana, nitakapoyafunua makaburi yenu na kuwatoa humo.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 37:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

nami nilimtokea Abrahamu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.


Nami nitaweka imara agano langu nawe; nawe utajua ya kuwa mimi ndimi BWANA;


Basi tabiri, uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitafunua makaburi yenu, na kuwapandisha kutoka katika makaburi yenu, enyi watu wangu, nami nitawaingizeni katika nchi ya Israeli.


Nami nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawawekeni katika nchi yenu, nanyi mtajua ya kuwa mimi, BWANA, nimesema hayo, na kuyatimiza, asema BWANA.


Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.


Nitawakomboa kwa nguvu za kaburi; nitawaokoa kutoka kwa mauti; ewe mauti, ya wapi mapigo yako? Ewe kaburi, ku wapi kuharibu kwako? Huruma itafichika machoni mwangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo