Ezekieli 36:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Nami nitawaokoeni kutoka kwa uchafu wenu wote; nitaiamuru ngano iongezeke, wala sitawaletea njaa tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Nitawaokoa kutoka uchafu wenu wote. Nitaiamuru ngano iongezeke, wala sitawaletea njaa tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Nitawaokoa kutoka uchafu wenu wote. Nitaiamuru ngano iongezeke, wala sitawaletea njaa tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Nitawaokoa kutoka uchafu wenu wote. Nitaiamuru ngano iongezeke, wala sitawaletea njaa tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Nitawaokoa ninyi kutoka unajisi wenu wote. Nitaiita nafaka na kuiongeza iwe nyingi sana nami sitaleta njaa juu yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Nitawaokoa ninyi kutoka unajisi wenu wote. Nitaiita nafaka na kuiongeza iwe nyingi sana nami sitaleta njaa juu yenu. Tazama sura |