Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 36:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 basi hutakula watu tena, wala hatuna watoto wa taifa lako tena, asema Bwana MUNGU;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 basi, sasa hamtakula tena watu wala kupokonya taifa lenu watoto wake. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 basi, sasa hamtakula tena watu wala kupokonya taifa lenu watoto wake. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 basi, sasa hamtakula tena watu wala kupokonya taifa lenu watoto wake. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 kwa hiyo hutakula tena watu wala kulifanya tena taifa lako lisiwe na watoto, asema Bwana Mungu Mwenyezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 kwa hiyo hutakula tena watu wala kulifanya tena taifa lako lisiwe na watoto, asema bwana Mwenyezi.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 36:14
6 Marejeleo ya Msalaba  

Watu wako nao watakuwa wenye haki wote, Nao watairithi nchi milele; Wao ni chipukizi nililolipanda mimi mwenyewe, Kazi ya mikono yangu mwenyewe, Ili mimi nitukuzwe.


Bwana MUNGU asema hivi; Kwa kuwa watu hukuambia, wewe nchi u mwenye kula watu, nawe umekuwa mwenye kuua watu wa taifa lako;


wala sitakuacha usikie matusi ya wasioamini, wala hutaaibishwa na watu tena; wala hutalikwaza taifa lako tena, asema Bwana MUNGU.


Nami nitawapanda katika nchi yao, wala hawatang'olewa tena watoke katika nchi yao niliyowapa, asema BWANA, Mungu wako.


Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala wakazi wake; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu wakubwa mno.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo