Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 35:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Bwana MUNGU asema hivi; Dunia yote itakapofurahi, nitakufanya kuwa ukiwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitakapokufanya wewe Edomu kuwa jangwa, dunia yote itafurahi

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitakapokufanya wewe Edomu kuwa jangwa, dunia yote itafurahi

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitakapokufanya wewe Edomu kuwa jangwa, dunia yote itafurahi

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Dunia yote inaposhangilia, nitakufanya ukiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Wakati dunia yote inashangilia nitakufanya ukiwa.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 35:14
5 Marejeleo ya Msalaba  

Imbeni, enyi mbingu, maana BWANA ametenda hayo; Pigeni kelele, enyi mabonde ya nchi; Pazeni nyimbo, enyi milima; Nawe, msitu, na kila mti ndani yake. Maana BWANA amemkomboa Yakobo, Naye atajitukuza katika Israeli.


Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi; Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima; Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake, Naye atawahurumia watu wake walioteswa.


Ndipo mbingu, na nchi, na vitu vyote vilivyomo, vitaimba kwa furaha juu ya Babeli; kwa maana watu waangamizao watamjia kutoka kaskazini, asema BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo