Ezekieli 34:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo wangu, nami nitawalaza, asema Bwana MUNGU. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mimi mwenyewe nitakuwa mchungaji wa kondoo wangu. Mimi mwenyewe nitawapumzisha. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mimi mwenyewe nitakuwa mchungaji wa kondoo wangu. Mimi mwenyewe nitawapumzisha. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mimi mwenyewe nitakuwa mchungaji wa kondoo wangu. Mimi mwenyewe nitawapumzisha. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mimi mwenyewe nitawachunga kondoo wangu na kuwafanya wapumzike, asema Bwana Mungu Mwenyezi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mimi mwenyewe nitawachunga kondoo zangu na kuwafanya wapumzike, asema bwana Mwenyezi. Tazama sura |