Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 33:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

33 Na hayo yatakapokuwapo (tazama, yanakuja), ndipo watakapojua ya kuwa nabii amekuwapo kati yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Lakini hayo unayosema yatakapotukia – nayo kweli yatatukia – basi, ndipo watakapotambua kuwa nabii amekuwapo miongoni mwao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Lakini hayo unayosema yatakapotukia – nayo kweli yatatukia – basi, ndipo watakapotambua kuwa nabii amekuwapo miongoni mwao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Lakini hayo unayosema yatakapotukia — nayo kweli yatatukia — basi, ndipo watakapotambua kuwa nabii amekuwapo miongoni mwao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 “Mambo haya yote yatakapotimia, kwa kuwa hakika yatatokea, ndipo watajua kuwa nabii amekuwa miongoni mwao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 “Wakati mambo haya yote yatakapotimia, kwa kuwa hakika yatatokea, ndipo watakapojua kwamba nabii amekuwepo miongoni mwao.”

Tazama sura Nakili




Ezekieli 33:33
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa, Elisha, yule mtu wa Mungu, aliposikia kwamba mfalme wa Israeli ameyararua mavazi yake, ndipo akatuma mtu kwa mfalme, akisema, Mbona umeyararua mavazi yako? Na aje sasa kwangu mimi, naye atajua ya kuwa yuko nabii katika Israeli.


Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kweli kuwa BWANA amemtuma.


Nao, iwe watasikia au hawataki kusikia, (maana ndio nyumba ya kuasi hao), hata hivyo watajua ya kuwa nabii amekuwako miongoni mwao.


Katika siku hiyo watatoka wajumbe mbele zangu katika merikebu, ili kuwatia hofu Wakushi, wanaojiona kuwa salama, na dhiki itakuwa juu yao, vile vile kama katika siku ya Misri; kwa maana, tazama, inakuja.


Ndipo watakapojua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoifanya nchi kuwa ukiwa na ajabu, kwa sababu ya machukizo yao yote waliyoyatenda.


Neno la BWANA likanijia, kusema,


Tazama, linakuja, nalo litatendeka, asema Bwana MUNGU; hii ndiyo siku ile niliyoinena.


Hata mavumbi ya mji wenu yaliyogandamana na miguu yetu tunayakung'uta juu yenu. Lakini jueni hili, ya kuwa Ufalme wa Mungu umekaribia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo