Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezekieli 32:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Wataanguka kati ya watu waliouawa kwa upanga; ametolewa apigwe na upanga; mvuteni aende mbali pamoja na watu wake wote jamii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Watu wa Misri wataangamia pamoja na watu waliouawa vitani. Upanga uko tayari kuangamiza Misri pamoja na watu wake wengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Watu wa Misri wataangamia pamoja na watu waliouawa vitani. Upanga uko tayari kuangamiza Misri pamoja na watu wake wengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Watu wa Misri wataangamia pamoja na watu waliouawa vitani. Upanga uko tayari kuangamiza Misri pamoja na watu wake wengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Wataanguka miongoni mwa wale waliouawa kwa upanga. Upanga umefutwa; mwache aburutwe mbali pamoja na hao watu wake wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Wataanguka miongoni mwa wale waliouawa kwa upanga. Upanga umefutwa, mwache aburutwe mbali pamoja na hao wajeuri wake wote.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 32:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

Usinikokote pamoja na wasio haki, Wala pamoja na watenda maovu. Wawaambiao jirani zao maneno ya amani, Lakini mioyoni mwao mna madhara.


Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe; Nao walio tayari kuchinjwa uwaopoe.


Atazikwa maziko ya punda, akibururwa, na kutupwa nje ya malango ya Yerusalemu.


Hao nao waliteremka kuzimuni pamoja naye kwa watu waliouawa kwa upanga; naam, wale waliowasaidia, waliokaa chini ya uvuli wake kati ya mataifa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo