Ezekieli 32:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Nitakapoifanya nchi ya Misri kuwa ukiwa na jangwa, nchi iliyopungukiwa na vitu vilivyoijaza, nitakapowapiga watu wote wakaao ndani yake, ndipo watakapojua ya kuwa mimi ndimi BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 “Nitakapoifanya nchi ya Misri kuwa jangwa na mali yake yote kuchukuliwa, nitakapowaua wakazi wake wote, ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 “Nitakapoifanya nchi ya Misri kuwa jangwa na mali yake yote kuchukuliwa, nitakapowaua wakazi wake wote, ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 “Nitakapoifanya nchi ya Misri kuwa jangwa na mali yake yote kuchukuliwa, nitakapowaua wakazi wake wote, ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nitakapoifanya Misri kuwa ukiwa, na kuiondolea nchi kila kitu kilichomo, nitakapowapiga wote wanaoishi humo, ndipo watajua kuwa Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nitakapoifanya Misri kuwa ukiwa na kuiondolea nchi kila kitu kilichomo ndani yake, nitakapowapiga wote waishio humo, ndipo watakapojua kuwa Mimi ndimi bwana.’ Tazama sura |