Ezekieli 32:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Ndipo nitakapoyafanya maji yao kuwa safi, na kuiendesha mito yao kama mafuta, asema Bwana MUNGU. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hapo nitayafanya maji yake yatulie na kuitiririsha mito yake kama mafuta. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hapo nitayafanya maji yake yatulie na kuitiririsha mito yake kama mafuta. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hapo nitayafanya maji yake yatulie na kuitiririsha mito yake kama mafuta. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kisha nitafanya maji yake yatulie na kufanya vijito vyake vitiririke kama mafuta, asema Bwana Mungu Mwenyezi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kisha nitafanya maji yake yatulie na kufanya vijito vyake vitiririke kama mafuta, asema bwana Mwenyezi. Tazama sura |