Ezekieli 32:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Tena nitawaangaza mifugo wake wote, toka kando ya maji mengi; na mguu wa mwanadamu hautayatibua tena, wala kwato za mnyama hazitayatibua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Nitaiangamiza mifugo yako yote kando ya mto Nili. Maji yake hayatavurugwa tena na mtu wala kwato za mnyama kuyachafua tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nitaiangamiza mifugo yako yote kando ya mto Nili. Maji yake hayatavurugwa tena na mtu wala kwato za mnyama kuyachafua tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Nitaiangamiza mifugo yako yote kando ya mto Nili. Maji yake hayatavurugwa tena na mtu wala kwato za mnyama kuyachafua tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Nitaangamiza mifugo yake yote wanaojilisha kando ya maji mengi: hayatavurugwa tena kwa mguu wa mwanadamu wala kwato za mnyama hazitayachafua tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Nitaangamiza mifugo yake yote wanaojilisha kando ya maji mengi, hayatavurugwa tena kwa mguu wa mwanadamu wala kwato za mnyama hazitayachafua tena. Tazama sura |