Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 32:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Maana Bwana MUNGU asema hivi; Upanga wa mfalme wa Babeli utakujia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kwa maana, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Upanga wa mfalme wa Babuloni utakufuatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kwa maana, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Upanga wa mfalme wa Babuloni utakufuatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kwa maana, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Upanga wa mfalme wa Babuloni utakufuatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 “ ‘Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: “ ‘Upanga wa mfalme wa Babeli utakuja dhidi yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “ ‘Kwa kuwa hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Upanga wa mfalme wa Babeli utakuja dhidi yako.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 32:11
8 Marejeleo ya Msalaba  

ukawaambie, BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Tazama, nitatuma na kumtwaa Nebukadneza, mfalme wa Babeli, mtumishi wangu, nami nitaweka kiti chake cha enzi juu ya mawe haya niliyoyaficha; naye atatandaza hema yake ya fahari juu yake.


Neno hili ndilo ambalo BWANA alimwambia Yeremia, nabii, kueleza jinsi Nebukadneza, mfalme wa Babeli, atakavyokuja na kuipiga nchi ya Misri.


Maana Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitamleta Nebukadneza, mfalme wa Babeli, mfalme wa wafalme, juu ya Tiro toka kaskazini, pamoja na farasi, na magari ya vita, na wapanda farasi, na jeshi, na watu wengi.


Basi, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitampa Nebukadneza, mfalme wa Babeli, hiyo nchi ya Misri; naye atawachukua watu wake jamii yote pia, na kutwaa mateka yake, na kutwaa mawindo yake, nayo yatakuwa ndio mshahara wa jeshi lake.


Na upanga utakuja juu ya Misri, na dhiki itakuwa katika Kushi, watakapoanguka watu waliouawa katika Misri, nao watauondoa wingi wa watu wake, na misingi yake itabomolewa.


mimi nitamtia katika mikono yake aliye mkuu kati ya mataifa; naye atamtenda mambo; nimemfukuza kwa sababu ya uovu wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo