Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 31:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Basi hivyo alikuwa mzuri katika ukuu wake, katika urefu wa matawi yake; maana mizizi yake ilikuwa karibu na maji mengi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Ulikuwa mzuri kwa ukubwa wake, na kwa urefu wa matawi yake. Mizizi yake ilipenya chini mpaka penye maji mengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Ulikuwa mzuri kwa ukubwa wake, na kwa urefu wa matawi yake. Mizizi yake ilipenya chini mpaka penye maji mengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Ulikuwa mzuri kwa ukubwa wake, na kwa urefu wa matawi yake. Mizizi yake ilipenya chini mpaka penye maji mengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Ulikuwa na fahari katika uzuri, ukiwa na matawi yaliyotanda, kwa kuwa mizizi yake iliteremka hadi kwenye maji mengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Ulikuwa na fahari katika uzuri, ukiwa na matawi yaliyotanda, kwa kuwa mizizi yake ilikwenda chini mpaka kwenye maji mengi.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 31:7
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ndege wote wa angani walifanya viota vyao katika vitanzu vyake, na chini ya matawi yake wanyama wote wa kondeni walizaa watoto wao, na chini ya uvuli wake mataifa makuu yote walikaa.


Mierezi ya bustani ya Mungu haikuweza kumficha; misonobari haikuwa kama vitanzu vyake, na miamori haikuwa kama matawi yake, wala bustanini mwa Mungu hamkuwa na mti wowote uliofanana naye kwa uzuri.


Majani yake yalikuwa mazuri, na matunda yake mengi, na ndani yake chakula cha kuwatosha watu wote; wanyama wa mwituni walipata uvuli chini yake, na ndege wa angani walikaa katika matawi yake; kila kitu chenye mwili kilipata chakula kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo