Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 31:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri, na jamii ya watu wake, Je! Umefanana na nani katika ukuu wako?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 “Wewe mtu! Mwambie hivi Farao mfalme wa Misri na watu wake wote: Wewe wafanana na nini kwa ukuu wako?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 “Wewe mtu! Mwambie hivi Farao mfalme wa Misri na watu wake wote: Wewe wafanana na nini kwa ukuu wako?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 “Wewe mtu! Mwambie hivi Farao mfalme wa Misri na watu wake wote: Wewe wafanana na nini kwa ukuu wako?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri na makundi yake hivi: “ ‘Je, ni nani awezaye kulinganishwa na wewe katika fahari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 “Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri na makundi yake ya wajeuri: “ ‘Je, ni nani awezaye kulinganishwa na wewe katika fahari.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 31:2
9 Marejeleo ya Msalaba  

Haya basi, wewe jifunge viuno, ukaondoke ukawaambie maneno yote niliyokuamuru; usifadhaike kwa ajili yao, nisije nikakufadhaisha wewe mbele yao.


Kabla sijakuumba katika tumbo nilikujua, na kabla hujatoka tumboni, nilikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.


Utakuwa duni kuliko falme zote; wala hautajiinua tena juu ya mataifa; nami nitawapunguza, ili wasitawale tena juu ya mataifa.


Basi, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitampa Nebukadneza, mfalme wa Babeli, hiyo nchi ya Misri; naye atawachukua watu wake jamii yote pia, na kutwaa mateka yake, na kutwaa mawindo yake, nayo yatakuwa ndio mshahara wa jeshi lake.


Bwana MUNGU asema hivi; Pia nitaukomesha wingi wa watu wa Misri, kwa mkono wa Nebukadneza, mfalme wa Babeli.


Umefanana na nani, hivi katika utukufu na ukuu, kati ya miti ya Adeni? Lakini utashushwa pamoja na miti ya Adeni, hata pande za chini za nchi; utalala kati ya hao wasiotahiriwa; pamoja na hao waliouawa kwa upanga. Huyu ndiye Farao, na jamii yote ya watu wake, asema Bwana MUNGU.


Wakaniambia, Imekupasa kutoa unabii tena juu ya watu na taifa na lugha na wafalme wengi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo