Ezekieli 30:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoweka moto katika Misri, na hao wote wamsaidiao watakapoangamia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nitakapoiteketeza Misri kwa moto na kuwavunjilia mbali wasaidizi wake wote ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nitakapoiteketeza Misri kwa moto na kuwavunjilia mbali wasaidizi wake wote ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nitakapoiteketeza Misri kwa moto na kuwavunjilia mbali wasaidizi wake wote ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ndipo watajua kuwa mimi ndimi Mwenyezi Mungu, nitakapoiwasha Misri moto na wasaidizi wake wote watapondwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ndipo watakapojua kwamba mimi ndimi bwana, nitakapoiwasha Misri moto na wote wamsaidiao watapondwa. Tazama sura |