Ezekieli 30:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Nao watakuwa ukiwa, kati ya nchi zilizo ukiwa, na miji yake itakuwamo kati ya miji iliyoharibika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Misri itakuwa jangwa kama nchi zilizo jangwa na miji yake itakuwa magofu kama miji iliyoteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Misri itakuwa jangwa kama nchi zilizo jangwa na miji yake itakuwa magofu kama miji iliyoteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Misri itakuwa jangwa kama nchi zilizo jangwa na miji yake itakuwa magofu kama miji iliyoteketezwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hizo nchi zitakua ukiwa miongoni mwa nchi zilizo ukiwa, nayo miji yao itakuwa magofu miongoni mwa miji iliyo magofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “ ‘Hizo nchi zitakua ukiwa miongoni mwa nchi zilizo ukiwa, nayo miji yao itakuwa magofu miongoni mwa miji iliyo magofu. Tazama sura |