Ezekieli 30:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Nami nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa, na kuwatapanya kati ya nchi mbalimbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa na kuwasambaza katika nchi nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa na kuwasambaza katika nchi nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa na kuwasambaza katika nchi nyingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Nitawatawanya Wamisri miongoni mwa mataifa na kuwatapanya katika nchi zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Nitawatawanya Wamisri miongoni mwa mataifa na kuwafukuza huku na huko katika nchi zote. Tazama sura |