Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezekieli 30:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Ikawa katika mwaka wa kumi na mmoja, mwezi wa kwanza, siku ya saba ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Siku ya saba ya mwezi wa kwanza, mwaka wa kumi na moja tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Siku ya saba ya mwezi wa kwanza, mwaka wa kumi na moja tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Siku ya saba ya mwezi wa kwanza, mwaka wa kumi na moja tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Katika mwaka wa kumi na moja, mwezi wa kwanza, siku ya saba, neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Katika mwaka wa kumi na moja, mwezi wa kwanza, siku ya saba, neno la bwana likanijia kusema:

Tazama sura Nakili




Ezekieli 30:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

Siku ya tano ya mwezi, nao ulikuwa ni mwaka wa tano wa kuhamishwa kwake mfalme Yehoyakini,


Ikawa katika mwaka wa kumi na mmoja, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,


Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,


Ikawa katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,


Ikawa katika mwaka wa kumi na mmoja, mwezi wa tatu, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,


Ikawa katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kumi na mbili, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,


Ikawa katika mwaka wa sita, mwezi wa sita, siku ya tano ya mwezi, nilipokuwa nikikaa nyumbani mwangu, wazee wa Yuda nao wakiwa wamekaa mbele yangu, mkono wa Bwana MUNGU ukaniangukia huko.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo