Ezekieli 30:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Nami nitamwaga ghadhabu yangu juu ya Sini, ngome ya Misri, nami nitakatilia mbali wingi wa watu wa No. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nitamwaga ghadhabu yangu juu ya Pelusiumu, ile ngome inayotegemewa na Misri; na kuangamiza makundi ya Thebesi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nitamwaga ghadhabu yangu juu ya Pelusiumu, ile ngome inayotegemewa na Misri; na kuangamiza makundi ya Thebesi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nitamwaga ghadhabu yangu juu ya Pelusiumu, ile ngome inayotegemewa na Misri; na kuangamiza makundi ya Thebesi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nitaimwaga ghadhabu yangu juu ya Pelusiumu, ngome ya Misri, nami nitakatilia mbali makundi ya Thebesi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nitaimwaga ghadhabu yangu juu ya Pelusiumu, ngome ya Misri, nami nitakatilia mbali makundi ya wajeuri wa Thebesi. Tazama sura |