Ezekieli 3:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Maana wewe hukutumwa kwa watu wa lugha isiyoeleweka, ama wa lugha ngumu, bali kwa nyumba ya Israeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Sikutumi kwa taifa lenye lugha ngeni na ngumu, bali kwa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Sikutumi kwa taifa lenye lugha ngeni na ngumu, bali kwa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Sikutumi kwa taifa lenye lugha ngeni na ngumu, bali kwa Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Hukutumwa kwa taifa lenye maneno ya kutatiza na lugha ngumu, bali kwa nyumba ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Hukutumwa kwa taifa lenye maneno ya kutatiza na lugha ngumu, bali kwa nyumba ya Israeli. Tazama sura |