Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 3:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Lakini wewe, mwanadamu, tazama, watakutia pingu, nao watakufunga kwazo, wala hutakwenda nje kati yao;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Ewe mtu, utafungwa kwa kamba ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Ewe mtu, utafungwa kwa kamba ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Ewe mtu, utafungwa kwa kamba ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Nawe, ee mwanadamu, watakufunga kwa kamba; utafungwa ili usiweze kuwaendea watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Nawe, ee mwanadamu, watakufunga kwa kamba, watakufunga ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 3:25
7 Marejeleo ya Msalaba  

Sikuketi katika mkutano wao wanaojifurahisha, wala sikufurahi, niliketi peke yangu kwa sababu ya mkono wako; kwa maana umenijaza ghadhabu.


Na tazama, nitakutia pingu, wala hutageuka toka upande mmoja hata upande wa pili, hata utakapozitimiza siku za kuzingirwa kwako.


Jamaa zake walipopata habari wakatoka kwenda kumkamata; maana walisema, Amerukwa na akili.


Akasema, Amin, amin, nakuambia, Wakati ulipokuwa kijana, ulikuwa ukijifunga mwenyewe na kwenda utakako; lakini utakapokuwa mzee, utainyosha mikono yako, na mwingine atakufunga na kukuchukua usikotaka.


isipokuwa Roho Mtakatifu mji kwa mji hunishuhudia akisema, ya kwamba vifungo na dhiki vyaningoja.


Maana nitamwonesha yalivyo mengi yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya Jina langu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo