Ezekieli 3:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Hata ikawa, mwisho wa siku saba, neno la BWANA likanijia, kusema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Baada ya siku saba, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Baada ya siku saba, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Baada ya siku saba, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mwishoni mwa hizo siku saba neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Mwishoni mwa hizo siku saba neno la bwana likanijia kusema: Tazama sura |