Ezekieli 29:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Na watu wote wakaao Misri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, kwa sababu wamekuwa mwanzi wa kutegemewa kwa nyumba ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hapo ndipo wakazi wote wa Misri watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. “Waisraeli walikutegemea wewe ee Misri, lakini umekuwa dhaifu kama utete. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hapo ndipo wakazi wote wa Misri watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. “Waisraeli walikutegemea wewe ee Misri, lakini umekuwa dhaifu kama utete. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hapo ndipo wakazi wote wa Misri watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu. “Waisraeli walikutegemea wewe ee Misri, lakini umekuwa dhaifu kama utete. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ndipo wale wote wanaoishi Misri watajua kuwa Mimi ndimi Mwenyezi Mungu. “ ‘Umekuwa fimbo ya tete kwa nyumba ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ndipo wale wote waishio Misri watakapojua kuwa Mimi ndimi bwana. “ ‘Umekuwa fimbo ya tete kwa nyumba ya Israeli. Tazama sura |