Ezekieli 29:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Farao, mfalme wa Misri, ukatabiri juu yake, na juu ya Misri yote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Wewe mtu! Mgeukie Farao mfalme wa Misri, utoe unabii juu yake na nchi yote ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Wewe mtu! Mgeukie Farao mfalme wa Misri, utoe unabii juu yake na nchi yote ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Wewe mtu! Mgeukie Farao mfalme wa Misri, utoe unabii juu yake na nchi yote ya Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Farao mfalme wa Misri na utabiri dhidi yake na dhidi ya Misri yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Farao mfalme wa Misri na utabiri dhidi yake na dhidi ya Misri yote. Tazama sura |