Ezekieli 29:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Ikawa katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, mwaka wa ishirini na saba tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, mwaka wa ishirini na saba tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, mwaka wa ishirini na saba tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza, neno la Mwenyezi Mungu likanijia, kusema: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza, neno la bwana likanijia, kusema: Tazama sura |