Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 29:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 nami nitawarejesha Wamisri walio katika hali ya kufungwa, nami nitawarudisha Pathrosi, nchi ya kuzaliwa kwao; na huko watakuwa ufalme duni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Nitawafanikisha tena Wamisri. Nitawarudisha katika nchi ya Pathrosi, nchi yao ya asili. Huko watakuwa na ufalme usio na nguvu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Nitawafanikisha tena Wamisri. Nitawarudisha katika nchi ya Pathrosi, nchi yao ya asili. Huko watakuwa na ufalme usio na nguvu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Nitawafanikisha tena Wamisri. Nitawarudisha katika nchi ya Pathrosi, nchi yao ya asili. Huko watakuwa na ufalme usio na nguvu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Nitawarejesha hao Wamisri kutoka kutekwa kwao na kuwaweka Pathrosi, nchi ya baba zao. Huko watakuwa na ufalme usiokuwa na nguvu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Nitawarudisha hao Wamisri kutoka kwenye kutekwa kwao na kuwaweka katika Pathrosi, nchi ya baba zao. Huko watakuwa na ufalme usiokuwa na nguvu.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 29:14
8 Marejeleo ya Msalaba  

na Wapathrusi, na Wakasluhi; huko ndiko walikotoka Wafilisti na Wakaftori.


na Wapathrusi, na Wakasluhi; huko ndiko walikotoka Wafilisti, na Wakaftori.


Na itakuwa katika siku hiyo, Bwana atapeleka mkono wake mara ya pili, ili ajipatie watu wake watakaosalia, kutoka Ashuru, na kutoka Misri, na kutoka Pathrosi, na kutoka Kushi, na kutoka Elamu, na kutoka Shinari, na kutoka Hamathi, na kutoka visiwa vya bahari.


Neno lililomjia Yeremia, kuhusu Wayahudi wote waliokaa katika nchi ya Misri, waliokaa Migdoli, na Tapanesi, na Nofu, na katika nchi ya Pathrosi, kusema,


Ndipo watu wote waliojua ya kuwa wake zao waliwafukizia uvumba miungu mingine, na wanawake wote waliosimama karibu, mkutano mkubwa, yaani, watu wote waliokaa katika nchi ya Misri, katika Pathrosi, wakamjibu Yeremia, wakisema,


ili ufalme huo uwe duni usijiinue, lakini usimame kwa kulishika agano lake.


Nami nitaifanya Pathrosi kuwa ukiwa, nami nitatia moto katika Soani, nami nitatekeleza hukumu katika No.


Naye atapita kati ya bahari ya mateso, na kuyapiga mawimbi ya bahari, na vilindi vyote vya mto Nile vitakauka; na kiburi cha Ashuru kitashushwa; na fimbo ya enzi ya Misri itatoweka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo