Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ezekieli 29:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Maana Bwana MUNGU asema hivi; Mwisho wa miaka arubaini nitawakusanya Wamisri, na kuwatoa katika hayo makabila ya watu, ambazo walitawanyika kati yao;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 “Lakini mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Baada ya miaka arubaini nitawakusanya Wamisri kutoka kwa mataifa walimotawanywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 “Lakini mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Baada ya miaka arubaini nitawakusanya Wamisri kutoka kwa mataifa walimotawanywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 “Lakini mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Baada ya miaka arubaini nitawakusanya Wamisri kutoka kwa mataifa walimotawanywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 “ ‘Lakini hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Mwishoni mwa hiyo miaka arobaini, nitawakusanya Wamisri kutoka mataifa walikotawanywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 “ ‘Lakini hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Mwishoni mwa hiyo miaka arobaini, nitawakusanya Wamisri kutoka mataifa walikotawanywa.

Tazama sura Nakili

Ezekieli 29:13
2 Marejeleo ya Msalaba  

Naye BWANA atapiga Misri, akipiga na kuponya; nao wakirudi kwa BWANA, atakubali maombi yao na kuwaponya.

nami nitawatia katika mikono ya hao wanaowatafuta roho zao, na katika mikono ya Nebukadneza, mfalme wa Babeli, na katika mikono ya watumishi wake; na baada ya hayo itakaliwa na watu, kama katika siku za kale, asema BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo