Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezekieli 28:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 basi, kwa hiyo, Bwana MUNGU asema hivi; Kwa kuwa umeweka moyo wako kama moyo wa Mungu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Kwa hiyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kwa vile unajiona mwenye hekima kama Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Kwa hiyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kwa vile unajiona mwenye hekima kama Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Kwa hiyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kwa vile unajiona mwenye hekima kama Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 “ ‘Kwa hiyo, hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: “ ‘Kwa sababu unafikiri una hekima, mwenye hekima kama mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 “ ‘Kwa hiyo, hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Kwa sababu unafikiri una hekima, mwenye hekima kama mungu,

Tazama sura Nakili




Ezekieli 28:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye ni mwenye hekima moyoni, na mwenye uwezo katika nguvu; Ni nani aliyejifanya kuwa mgumu juu yake, naye akafanikiwa?


Nawe, je! Hata sasa wajitukuza juu ya watu wangu, usiwape ruhusa waende zao?


Mwanadamu, mwambie mkuu wa Tiro, Bwana MUNGU asema hivi; Kwa kuwa moyo wako umeinuka, nawe umesema, Mimi ni mungu, nami nimeketi katika kiti cha Mungu, kati ya bahari; lakini u mwanadamu wala si Mungu, ujapokuwa umeweka moyo wako kama moyo wa Mungu.


Au twamtia Bwana wivu? Je! Tuna nguvu zaidi ya yeye?


yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama cha kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.


Maana jua huchomoza kwa joto kali, huyakausha majani; ua lake huanguka, uzuri wa umbo lake hupotea; vivyo hivyo naye tajiri atanyauka katika njia zake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo