Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezekieli 27:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Wazee wa Gebali na wenye akili wake walikuwa ndani yako, wenye kutia kalafati; merikebu zote za bahari na mabaharia wao walikuwa ndani yako, ili kubadiliana biashara yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Wazee wa Gebali na mafundi wao walikuwa kwako kuziba nyufa zako. Mabaharia waliokuwa wakipitia kwako walifanya biashara nawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Wazee wa Gebali na mafundi wao walikuwa kwako kuziba nyufa zako. Mabaharia waliokuwa wakipitia kwako walifanya biashara nawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Wazee wa Gebali na mafundi wao walikuwa kwako kuziba nyufa zako. Mabaharia waliokuwa wakipitia kwako walifanya biashara nawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Wazee wa Gebali pamoja na mafundi stadi walikuwa mafundi wako kwenye meli. Meli zote za baharini na mabaharia wao walikuja kwako ili kubadilishana bidhaa zako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Wazee wa Gebali pamoja na mafundi stadi walikuwa mafundi wako melini. Meli zote za baharini na mabaharia wao walikuja kwako ili kubadilishana bidhaa zako.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 27:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na waashi wa Sulemani na waashi wa Hiramu na Wagebali wakayachonga, wakaweka tayari miti na mawe ya kuijenga nyumba.


Ndimo zipitamo merikebu, Ndimo alimo Lewiathani uliyemwumba acheze humo.


Gebali, na Amoni, na Amaleki, Na Filisti, nao wanaokaa Tiro,


Ashuri naye amepatana nao, Wamewasaidia wana wa Lutu.


na nchi ya Wagebali na Lebanoni yote, upande wa mashariki ya jua, kutoka Baal-gadi ulio chini ya mlima wa Hermoni mpaka kufikia maingilio ya Hamathi;


Nao wafanya biashara wa nchi walia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa yao tena;


kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo