Ezekieli 27:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Bidhaa zako zilipotoka katika bahari, uliwajaza watu wa kabila nyingi; uliwatajirisha wafalme wa dunia, kwa wingi wa mali zako, na kwa utajiri wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Bidhaa zako zilipowasili nchi za ngambo, ulitosheleza mahitaji ya watu wengi! Kwa wingi wa utajiri wa bidhaa zako uliwatajirisha wafalme wa dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Bidhaa zako zilipowasili nchi za ngambo, ulitosheleza mahitaji ya watu wengi! Kwa wingi wa utajiri wa bidhaa zako uliwatajirisha wafalme wa dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Bidhaa zako zilipowasili nchi za ng'ambo, ulitosheleza mahitaji ya watu wengi! Kwa wingi wa utajiri wa bidhaa zako uliwatajirisha wafalme wa dunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Bidhaa zako zilipotoka baharini, ulitosheleza mataifa mengi; kwa wingi wa utajiri wako na bidhaa zako ulitajirisha wafalme wa dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Wakati bidhaa zako zilipotoka baharini, ulitosheleza mataifa mengi; kwa wingi wa utajiri wako na bidhaa zako ulitajirisha wafalme wa dunia. Tazama sura |