Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 27:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 umwambie Tiro, Ewe ukaaye penye maingilio ya bahari, uliye mchuuzi wa watu wa kabila nyingi, mpaka visiwa vingi, Bwana MUNGU asema hivi; Wewe, Tiro, umesema, Mimi ni ukamilifu wa uzuri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 mji ule kando ya bahari, unaofanya biashara na mataifa ya pwani. Uambie: Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Ewe Tiro, wewe umejigamba u mzuri kwelikweli!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 mji ule kando ya bahari, unaofanya biashara na mataifa ya pwani. Uambie: Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Ewe Tiro, wewe umejigamba u mzuri kwelikweli!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 mji ule kando ya bahari, unaofanya biashara na mataifa ya pwani. Uambie: Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Ewe Tiro, wewe umejigamba u mzuri kwelikweli!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: “ ‘Ee Tiro, wewe umesema, “Mimi ni mkamilifu katika uzuri.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Ee Tiro, wewe umesema, “Mimi ni mkamilifu katika uzuri.”

Tazama sura Nakili




Ezekieli 27:3
15 Marejeleo ya Msalaba  

Tokea Sayuni, ukamilifu wa uzuri, Mungu ameangaza kote.


Gebali, na Amoni, na Amaleki, Na Filisti, nao wanaokaa Tiro,


Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.


Amenyosha mkono wake juu ya bahari, amezitikisa falme; Bwana ametoa amri katika habari za Kanaani, kuziangamiza ngome zake.


Lakini uliutumainia uzuri wako, ukafanya mambo ya kikahaba kwa sababu ya sifa zako, ukamwaga mambo yako ya kikahaba juu ya kila mtu aliyepita; ulikuwa wake.


Nao wataufanya utajiri wako kuwa mateka, na bidhaa yako kuwa mawindo; nao watazibomoa kuta zako, na kuziharibu nyumba zako zipendezazo; nao watatupa mawe yako, na miti yako, na mavumbi yako, kati ya maji.


Nao watakufanyia maombolezo, na kukuambia, Imekuwaje wewe kuharibika, wewe uliyekaliwa na wanamaji, mji wenye sifa, uliyekuwa na nguvu katika bahari, mji huo, na hao waliokaa ndani yake, waliowatia hofu wote waliokaa ndani yake!


Mipaka yako i kati ya moyo wa bahari; wajenzi wako wameukamilisha uzuri wako.


kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo