Ezekieli 27:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Kwa sauti ya vilio vya rubani zako viunga vyako vitatetemeka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Mlio wa mabaharia wako utakaposikika, nchi za pwani zitatetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Mlio wa mabaharia wako utakaposikika, nchi za pwani zitatetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Mlio wa mabaharia wako utakaposikika, nchi za pwani zitatetemeka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Nchi za pwani zitatetemeka wakati mabaharia wako watakapopiga kelele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Nchi za pwani zitatetemeka wakati mabaharia wako watakapopiga kelele. Tazama sura |