Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ezekieli 27:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Merikebu za Tarshishi zilikuwa misafara yako, kwa bidhaa yako; nawe ulijazwa sana, ukawa mtukufu sana, katika moyo wa bahari.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Merikebu za Tarshishi ndizo zilikusafirishia bidhaa zako. Basi kama meli katikati ya bahari wewe ulikuwa umejaa shehena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Merikebu za Tarshishi ndizo zilikusafirishia bidhaa zako. Basi kama meli katikati ya bahari wewe ulikuwa umejaa shehena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Merikebu za Tarshishi ndizo zilikusafirishia bidhaa zako. Basi kama meli katikati ya bahari wewe ulikuwa umejaa shehena.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 “ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo zinazokusafirishia bidhaa zako. Umejazwa shehena kubwa katika moyo wa bahari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 “ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo zinazokusafirishia bidhaa zako. Umejazwa shehena kubwa katika moyo wa bahari.

Tazama sura Nakili

Ezekieli 27:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Yavani ni Elisha, Tarshishi, Kitimu, na Warodani.

Kwa kuwa mfalme alikuwa na merikebu za Tarshishi baharini pamoja na merikebu za Hiramu; mara moja katika miaka mitatu huja merikebu za Tarshishi, zikileta dhahabu, na fedha, na pembe, na nyani, na tausi.

Kama upepo wa mashariki Unapovunja jahazi za Tarshishi.

Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.

na juu ya merikebu zote za Tarshishi, na juu ya kila taswira ipendezayo.

Pigeni yowe, enyi merikebu za Tarshishi; maana ngome yenu imefanywa ukiwa.

Hakika yake visiwa vitaningojea, Na merikebu za Tarshishi kwanza, Ili kuleta wana wako kutoka mbali, Na fedha yao na dhahabu yao pamoja nao, Kwa ajili ya jina la BWANA, Mungu wako, Kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli, Kwa kuwa amekutukuza wewe.

Hao ndio waliokuwa wachuuzi wako, kwa vitu vya tunu, kwa vitumba vya nguo za samawati na kazi ya taraza, na masanduku ya mavazi ya thamani, yaliyofungwa kwa kamba, na kufanyizwa kwa mti wa mierezi, katika bidhaa yako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo