Ezekieli 24:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ukawatungie mithali nyumba ya kuasi, ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Teleka sufuria, liteleke; ukatie maji ndani yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wape mfano hao watu wangu waasi na kuwaambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kiweke chungu juu ya meko, ukakijaze maji pia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wape mfano hao watu wangu waasi na kuwaambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kiweke chungu juu ya meko, ukakijaze maji pia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wape mfano hao watu wangu waasi na kuwaambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kiweke chungu juu ya meko, ukakijaze maji pia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nenea nyumba hii ya uasi kwa fumbo, uwaambie: ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: “ ‘Teleka sufuria jikoni; iteleke na umimine maji ndani yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Iambie nyumba hii ya kuasi fumbo, na uwaambie, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Teleka sufuria jikoni; iteleke na umimine maji ndani yake, Tazama sura |