Ezekieli 23:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 waliovikwa mavazi ya samawati, watawala na mawaziri, wote vijana wa kutamanika, wapanda farasi wakipanda farasi wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hao walikuwa askari, wamevalia sare za rangi ya zambarau, watawala na makamanda. Wote walikuwa vijana wa kuvutia na wapandafarasi hodari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hao walikuwa askari, wamevalia sare za rangi ya zambarau, watawala na makamanda. Wote walikuwa vijana wa kuvutia na wapandafarasi hodari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hao walikuwa askari, wamevalia sare za rangi ya zambarau, watawala na makamanda. Wote walikuwa vijana wa kuvutia na wapandafarasi hodari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 waliovaa nguo za buluu, watawala na majemadari, wote walikuwa wanaume vijana wa kuvutia, wapandao farasi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 waliovaa nguo za buluu, watawala na majemadari, wote walikuwa wanaume vijana wa kuvutia, wapandao farasi. Tazama sura |