Ezekieli 23:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Na Ohola alifanya mambo ya kikahaba alipokuwa wangu; naye alipenda mno wapenzi wake, Waashuri, jirani zake, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Ingawa Ohola alikuwa mke wangu, lakini aliendelea kuwa mzinzi na kuwatamani wapenzi wake wa Ashuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Ingawa Ohola alikuwa mke wangu, lakini aliendelea kuwa mzinzi na kuwatamani wapenzi wake wa Ashuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Ingawa Ohola alikuwa mke wangu, lakini aliendelea kuwa mzinzi na kuwatamani wapenzi wake wa Ashuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Ohola akajitia kwenye ukahaba alipokuwa bado ni wangu, akatamani sana wapenzi wake, mashujaa Waashuru, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Ohola akajitia kwenye ukahaba alipokuwa bado ni wangu, akatamani sana wapenzi wake, mashujaa Waashuru, Tazama sura |