Ezekieli 23:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Tena BWANA akaniambia, Mwanadamu, utawahukumu Ohola na Oholiba? Basi watangazie matendo yao maovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Wewe mtu! Je, uko tayari kuwahukumu Ohola na Oholiba? Basi, watangazie matendo yao ya kuchukiza! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Wewe mtu! Je, uko tayari kuwahukumu Ohola na Oholiba? Basi, watangazie matendo yao ya kuchukiza! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Wewe mtu! Je, uko tayari kuwahukumu Ohola na Oholiba? Basi, watangazie matendo yao ya kuchukiza! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Mwenyezi Mungu akaniambia, “Mwanadamu, je, utawahukumu Ohola na Oholiba? Basi wakabili kwa ajili ya matendo yao ya machukizo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 bwana akaniambia, “Mwanadamu, Je, utawahukumu Ohola na Oholiba? Basi wakabili kwa ajili ya matendo yao ya machukizo, Tazama sura |