Ezekieli 23:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Maana Bwana MUNGU asema hivi, Tazama nitakutia katika mikono yao unaowachukia, katika mikono yao, ambao roho imefarakana nao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 “Naam, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitakutia mikononi mwa watu unaowachukia, watu unaowaona kuwa kinyaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 “Naam, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitakutia mikononi mwa watu unaowachukia, watu unaowaona kuwa kinyaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 “Naam, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitakutia mikononi mwa watu unaowachukia, watu unaowaona kuwa kinyaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 “Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Ninakaribia kukutia mikononi mwa wale unaowachukia, kwa wale uliojitenga nao kwa kuwachukia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 “Kwa hiyo hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Ninakaribia kukutia mikononi mwa wale unaowachukia, kwa wale uliojitenga nao kwa kuwachukia. Tazama sura |