Ezekieli 23:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Pia watakuvua nguo zako, na kukunyang'anya johari zako uzuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Watakuvua mavazi yako na kukunyanganya johari zako nzuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Watakuvua mavazi yako na kukunyanganya johari zako nzuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Watakuvua mavazi yako na kukunyang'anya johari zako nzuri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Watakuvua nguo zako pia, na kuchukua mapambo yako yaliyotengenezwa kwa vito na dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Watakuvua pia nguo zako na kuchukua mapambo yako yaliyotengenezwa kwa vito na dhahabu. Tazama sura |