Ezekieli 23:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Na mara alipowaona aliwapendelea, akatuma wajumbe kwao hata Ukaldayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Alipoziona picha hizo, mara akashikwa na tamaa, akatuma wajumbe kwenda Ukaldayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Alipoziona picha hizo, mara akashikwa na tamaa, akatuma wajumbe kwenda Ukaldayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Alipoziona picha hizo, mara akashikwa na tamaa, akatuma wajumbe kwenda Ukaldayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mara tu alipowaona, aliwatamani, akatuma wajumbe kwao huko Ukaldayo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Mara tu alipowaona, aliwatamani, akatuma wajumbe kwao huko Ukaldayo. Tazama sura |