Ezekieli 23:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Nikaona ya kuwa ametiwa unajisi; wote wawili walifuata njia moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Nilimtambua kuwa najisi. Ama kweli wote wawili walikuwa na tabia hiyo moja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nilimtambua kuwa najisi. Ama kweli wote wawili walikuwa na tabia hiyo moja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Nilimtambua kuwa najisi. Ama kweli wote wawili walikuwa na tabia hiyo moja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Nikaona kuwa yeye pia alijinajisi, wote wawili wakaelekea njia moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Nikaona kuwa yeye pia alijinajisi, wote wawili wakaelekea njia moja. Tazama sura |