Ezekieli 22:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Basi Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu ninyi nyote mmekuwa taka za fedha, tazama, nitawakusanya pamoja katikati mwa Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kwa kuwa nyinyi nyote mmekuwa takataka ya madini, mimi nitawakusanya pamoja mjini Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kwa kuwa nyinyi nyote mmekuwa takataka ya madini, mimi nitawakusanya pamoja mjini Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kwa kuwa nyinyi nyote mmekuwa takataka ya madini, mimi nitawakusanya pamoja mjini Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: ‘Kwa kuwa wote mmekuwa takataka ya chuma, nitawakusanya Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa hiyo hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa kuwa wote mmekuwa takataka ya chuma, nitawakusanya Yerusalemu. Tazama sura |