Ezekieli 21:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 na watu wote wenye mwili watajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeufuta upanga wangu alani mwake; hautarudi tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Watu wote watajua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndiye niliyeuchomoa upanga alani mwake na wala hautarudishwa tena ndani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Watu wote watajua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndiye niliyeuchomoa upanga alani mwake na wala hautarudishwa tena ndani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Watu wote watajua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndiye niliyeuchomoa upanga alani mwake na wala hautarudishwa tena ndani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ndipo watu wote watajua ya kuwa Mimi Mwenyezi Mungu nimeutoa upanga wangu kwenye ala yake, nao hautarudi humo tena.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ndipo watu wote watajua ya kuwa Mimi bwana nimeutoa upanga wangu kwenye ala yake, nao hautarudi humo tena.’ Tazama sura |