Ezekieli 21:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Kwa maana kuna kujaribiwa; itakuwaje, basi, ikiwa upanga unaidharau hiyo fimbo? Haitakuwapo tena; asema Bwana MUNGU. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hilo litakuwa jaribio gumu sana. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hilo litakuwa jaribio gumu sana. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hilo litakuwa jaribio gumu sana. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “ ‘Lazima kuwe na kujaribiwa. Itakuwaje basi ikiwa fimbo ya ufalme ya Yuda inayodharauliwa na upanga haitakuwepo tena? asema Bwana Mungu Mwenyezi.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “ ‘Kwa maana upanga huu umejaribiwa na kuhakikishwa, itakuwaje basi fimbo ya ufalme ya Yuda inayoudharau kama haitakuwepo tena, bali itakuwa imeondolewa kabisa? asema bwana Mwenyezi.’ Tazama sura |