Ezekieli 21:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Nao umetolewa ili ung'arishwe upate kushikwa mkononi; upanga umenolewa, naam, umesuguliwa, ili kutiwa katika mkono wake auaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Umenolewa na kungarishwa uwekwe mkononi mwa mwuaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Umenolewa na kungarishwa uwekwe mkononi mwa mwuaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Umenolewa na kung'arishwa uwekwe mkononi mwa mwuaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 “ ‘Upanga umewekwa tayari ili kusuguliwa, ili upate kushikwa mkononi, umenolewa na kusuguliwa, umewekwa tayari kwa mkono wa muuaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 “ ‘Upanga umewekwa tayari ili kusuguliwa, ili upate kushikwa mkononi, umenolewa na kusuguliwa, umewekwa tayari kwa mkono wa muuaji. Tazama sura |
angalieni, nitatuma watu na kuzitwaa jamaa zote za upande wa kaskazini, asema BWANA, nami nitatuma ujumbe kwa Nebukadneza, mfalme wa Babeli, mtumishi wangu, nami nitawaleta juu ya nchi hii, na juu yao wakaao ndani yake, na juu ya mataifa haya yote yaliyoko pande zote; nami nitawaangamiza kabisa, na kuwafanya kitu cha kushangaza, na kitu cha kuzomewa, na ukiwa wa daima.