Ezekieli 2:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Nao, iwe watasikia au hawataki kusikia, (maana ndio nyumba ya kuasi hao), hata hivyo watajua ya kuwa nabii amekuwako miongoni mwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Wakisikia au wasiposikia, maana wao ni watu waasi, walau watatambua kwamba nabii amekuwapo miongoni mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Wakisikia au wasiposikia, maana wao ni watu waasi, walau watatambua kwamba nabii amekuwapo miongoni mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Wakisikia au wasiposikia, maana wao ni watu waasi, walau watatambua kwamba nabii amekuwapo miongoni mwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kama watasikiliza au hawatasikiliza, kwa kuwa wao ni nyumba ya uasi, watajua nabii amekuwa miongoni mwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kama watasikiliza au hawatasikiliza, kwa kuwa wao ni nyumba ya kuasi, watajua nabii amekuwa miongoni mwao. Tazama sura |