Ezekieli 19:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Mataifa nao wakapata habari zake, akanaswa katika rima lao, wakamchukua kwa kulabu mpaka nchi ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mataifa yakapiga mbiu ya hatari dhidi yake, wakamnasa katika mtego wao, wakampeleka kwa ndoana mpaka Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mataifa yakapiga mbiu ya hatari dhidi yake, wakamnasa katika mtego wao, wakampeleka kwa ndoana mpaka Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mataifa yakapiga mbiu ya hatari dhidi yake, wakamnasa katika mtego wao, wakampeleka kwa ndoana mpaka Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mataifa wakasikia habari zake, naye akanaswa katika shimo lao. Wakamwongoza kwa ndoana hadi nchi ya Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mataifa wakasikia habari zake, naye akanaswa katika shimo lao. Wakamwongoza kwa ndoana mpaka nchi ya Misri. Tazama sura |