Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ezekieli 19:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 useme, Mama yako alikuwa nini? Simba mke; alijilaza kati ya simba, kati ya wanasimba aliwalisha watoto wake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Mama yenu alikuwa simba wa fahari miongoni mwa simba wengine. Alikaa kati ya simba vijana, akawalisha watoto wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Mama yenu alikuwa simba wa fahari miongoni mwa simba wengine. Alikaa kati ya simba vijana, akawalisha watoto wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Mama yenu alikuwa simba wa fahari miongoni mwa simba wengine. Alikaa kati ya simba vijana, akawalisha watoto wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 na useme: “ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike miongoni mwa simba! Alilala katikati ya wana simba na kulisha watoto wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 na useme: “ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike miongoni mwa simba! Alilala katikati ya wana simba na kulisha watoto wake.

Tazama sura Nakili

Ezekieli 19:2
11 Marejeleo ya Msalaba  

Simba mzee huangamia kwa kukosa mawindo, Nao watoto wa simba jike wametawanyika mbalimbali.

Ee Mungu, uyavunje meno yao vinywani mwao; Ee BWANA, uyavunje magego ya wanasimba.

Ngurumo yao itakuwa kama ya simba; Watanguruma kama wanasimba; Naam, watanguruma na kukamata mateka, Na kuyachukua na kwenda zao salama, Wala hakuna mtu atakayeokoa.

Tena uwaombolezee wakuu wa Israeli,

Akamlea mtoto mmoja katika watoto wake, akawa mwanasimba, akajifunza kuwinda mawindo, akala watu.

Mwanadamu, mfanyie Farao, mfalme wa Misri, maombolezo, umwambie, Ulifananishwa na mwanasimba wa mataifa; lakini umekuwa kama joka katika bahari; nawe watoka kwa nguvu pamoja na mito yako, na kuyachafua maji kwa miguu yako, na kuitia uchafu mito yao.

Sikiza, maombolezo ya wachungaji, Kwa maana utukufu wao umeharibiwa; Sikiza, ngurumo za simba, Kwa maana vichaka vya Yordani vimeharibiwa!

Na Dani akamnena, Dani ni mwanasimba, Arukaye kutoka Bashani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo